# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa njumba ya Israeli. # weka wana wako kwenye moto Hii inamaanisha kutoa sadaka watoto kwa sanamu kwa kuwachoma wakiwa hai. # Hivyo kwa nini nikuache unihoji mimi ... Israeli? "Hauna haki ya kuniuliza ujumbe ... Israeli."