sw_tn/ezk/20/30.md

12 lines
295 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa njumba ya Israeli.
# weka wana wako kwenye moto
Hii inamaanisha kutoa sadaka watoto kwa sanamu kwa kuwachoma wakiwa hai.
# Hivyo kwa nini nikuache unihoji mimi ... Israeli?
"Hauna haki ya kuniuliza ujumbe ... Israeli."