sw_tn/ezk/20/18.md

377 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli.

Msitembee kama wazazi wenu

"Msifanye mambo ambayo wazazi wenu waliyawaamuru kuyafanya"

msitunze maagizo yao

"msizitii kanuni zao"

tunza maagizo yangu na yatii!

"Kutunza" maagizo ya Yahwe ni sawa na "kuyatii."

mtajua yakwamba mimi ni Yahwe

Tazama tafsiri yake katika 6:6.