sw_tn/ezk/20/18.md

20 lines
377 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli.
# Msitembee kama wazazi wenu
"Msifanye mambo ambayo wazazi wenu waliyawaamuru kuyafanya"
# msitunze maagizo yao
"msizitii kanuni zao"
# tunza maagizo yangu na yatii!
"Kutunza" maagizo ya Yahwe ni sawa na "kuyatii."
# mtajua yakwamba mimi ni Yahwe
Tazama tafsiri yake katika 6:6.