# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli. # Msitembee kama wazazi wenu "Msifanye mambo ambayo wazazi wenu waliyawaamuru kuyafanya" # msitunze maagizo yao "msizitii kanuni zao" # tunza maagizo yangu na yatii! "Kutunza" maagizo ya Yahwe ni sawa na "kuyatii." # mtajua yakwamba mimi ni Yahwe Tazama tafsiri yake katika 6:6.