sw_tn/ezk/18/07.md

265 B

alirudisha amana

Mungu anafurahishwa na mkopeshaji anayerudisha amana ya mkopo kwa mkopaji hata kabla ya mkopaji kumlipa mkopeshaji.

Huwapa chakula wenye njaa. Na kuwavika nguo walio uchi.

Mungu anapendezwa na walio wakarimu kwa wasio na chakula na mavazi.