# alirudisha amana Mungu anafurahishwa na mkopeshaji anayerudisha amana ya mkopo kwa mkopaji hata kabla ya mkopaji kumlipa mkopeshaji. # Huwapa chakula wenye njaa. Na kuwavika nguo walio uchi. Mungu anapendezwa na walio wakarimu kwa wasio na chakula na mavazi.