sw_tn/ezk/17/07.md

705 B

Maelezo ya Jumla:

Utambulisho "lakini" huonyesha kwamba tai mwingine ameelezwa kulikuwa yule wa awali.

tai mkubwa

Tai ni mkubwa, mwenye uwezo, na ndege mwenye kuvutia.

Tazama!

Neno "Tazama" hapa linatahadharisha kuwa makini kwa habari ya kushangaza inayofuata.

Huu mzabibu ukabadilisha mizizi yake kumwelekea tai

"Mizizi ya mzabibu ikamea kumwelekea tai"

upate kumwagiliwa

"hivyo tai akamwagilia mzabibu"

Ulikuwa umepandwa

"yule tai wa awali aliupanda mzabibu."

karibu na kilindi cha maji

"katika mahali ambapo kulikuwa na maji mengi"

hivyo ungezaa matawi na kuanza kutoa matunda, ili kuwa mzabibu mzuri kabisa

"ili mzabibu ukue matawi na matunda na kuwa mzabibu unaovutia"