sw_tn/ezk/17/07.md

32 lines
705 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Utambulisho "lakini" huonyesha kwamba tai mwingine ameelezwa kulikuwa yule wa awali.
# tai mkubwa
Tai ni mkubwa, mwenye uwezo, na ndege mwenye kuvutia.
# Tazama!
Neno "Tazama" hapa linatahadharisha kuwa makini kwa habari ya kushangaza inayofuata.
# Huu mzabibu ukabadilisha mizizi yake kumwelekea tai
"Mizizi ya mzabibu ikamea kumwelekea tai"
# upate kumwagiliwa
"hivyo tai akamwagilia mzabibu"
# Ulikuwa umepandwa
"yule tai wa awali aliupanda mzabibu."
# karibu na kilindi cha maji
"katika mahali ambapo kulikuwa na maji mengi"
# hivyo ungezaa matawi na kuanza kutoa matunda, ili kuwa mzabibu mzuri kabisa
"ili mzabibu ukue matawi na matunda na kuwa mzabibu unaovutia"