# Maelezo ya Jumla: Utambulisho "lakini" huonyesha kwamba tai mwingine ameelezwa kulikuwa yule wa awali. # tai mkubwa Tai ni mkubwa, mwenye uwezo, na ndege mwenye kuvutia. # Tazama! Neno "Tazama" hapa linatahadharisha kuwa makini kwa habari ya kushangaza inayofuata. # Huu mzabibu ukabadilisha mizizi yake kumwelekea tai "Mizizi ya mzabibu ikamea kumwelekea tai" # upate kumwagiliwa "hivyo tai akamwagilia mzabibu" # Ulikuwa umepandwa "yule tai wa awali aliupanda mzabibu." # karibu na kilindi cha maji "katika mahali ambapo kulikuwa na maji mengi" # hivyo ungezaa matawi na kuanza kutoa matunda, ili kuwa mzabibu mzuri kabisa "ili mzabibu ukue matawi na matunda na kuwa mzabibu unaovutia"