sw_tn/ezk/15/07.md

229 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu watu wa Israeli.

ukiwa

ni mahali ambapo kila mtu ameondoka.

wamefanya dhambi

"wameasi"

hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo

Tazama tafsiri yake katika 5:11.