# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu watu wa Israeli. # ukiwa ni mahali ambapo kila mtu ameondoka. # wamefanya dhambi "wameasi" # hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo Tazama tafsiri yake katika 5:11.