sw_tn/ezk/12/08.md

350 B

neno la Yahwe likaja

"Yahwe alinena neno lake."

nyumba ya Isaraeli

Tazama tafsiri yake katika 3:16.

Mwanadamu, je nyumba ya Israeli, ile ni nyumba ya uasi, hawakukwambia, 'Unafanya nini?

Mungu anamuuliza hili swali Ezekieli kuonyesha kwamba watu wa Israeli wametangaza kile Ezekieli anachokifanya.

walio kati yao

"walio miongoni mwao"