sw_tn/ezk/12/08.md

16 lines
350 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# neno la Yahwe likaja
"Yahwe alinena neno lake."
# nyumba ya Isaraeli
Tazama tafsiri yake katika 3:16.
# Mwanadamu, je nyumba ya Israeli, ile ni nyumba ya uasi, hawakukwambia, 'Unafanya nini?
Mungu anamuuliza hili swali Ezekieli kuonyesha kwamba watu wa Israeli wametangaza kile Ezekieli anachokifanya.
# walio kati yao
"walio miongoni mwao"