# neno la Yahwe likaja "Yahwe alinena neno lake." # nyumba ya Isaraeli Tazama tafsiri yake katika 3:16. # Mwanadamu, je nyumba ya Israeli, ile ni nyumba ya uasi, hawakukwambia, 'Unafanya nini? Mungu anamuuliza hili swali Ezekieli kuonyesha kwamba watu wa Israeli wametangaza kile Ezekieli anachokifanya. # walio kati yao "walio miongoni mwao"