sw_tn/ezk/11/14.md

20 lines
393 B
Markdown

# Neno la Yahwe likaja
"Yahwe alinena neno lake."
# ndugu zako! Ndugu zako!
Hii imetajwa mara mbili kwa msisitizo.
# nyumba ya Israeli
Tazama ilivyo tafsiriwa katika 3:1.
# Wote hao ndio hao ambao inasemekana wale wanaoishi Yerusalemu
"Watu wanaoishi Yerusalemu wansema kuhusu wote"
# Wote hao ndio hao ambao inasemekana
Baadhi ya matoleo ya kisasa yana "Wote ni wale ambao ilisema."