sw_tn/ezk/11/14.md

393 B

Neno la Yahwe likaja

"Yahwe alinena neno lake."

ndugu zako! Ndugu zako!

Hii imetajwa mara mbili kwa msisitizo.

nyumba ya Israeli

Tazama ilivyo tafsiriwa katika 3:1.

Wote hao ndio hao ambao inasemekana wale wanaoishi Yerusalemu

"Watu wanaoishi Yerusalemu wansema kuhusu wote"

Wote hao ndio hao ambao inasemekana

Baadhi ya matoleo ya kisasa yana "Wote ni wale ambao ilisema."