# Neno la Yahwe likaja "Yahwe alinena neno lake." # ndugu zako! Ndugu zako! Hii imetajwa mara mbili kwa msisitizo. # nyumba ya Israeli Tazama ilivyo tafsiriwa katika 3:1. # Wote hao ndio hao ambao inasemekana wale wanaoishi Yerusalemu "Watu wanaoishi Yerusalemu wansema kuhusu wote" # Wote hao ndio hao ambao inasemekana Baadhi ya matoleo ya kisasa yana "Wote ni wale ambao ilisema."