sw_tn/ezk/11/13.md

340 B

Ikawa kwamba

Hili neno limetumika hapa kuonyesha tukio la muhimu katika hadithi.

Pelatia mwana wa Benaya

Alikuwa mmoja wa viongozi waovu wa Israeli aliyetajwa katika 11:1.

ukanijaza kwenye uso wangu

Tazama tafsiri yake katika 1:27.

Ee

Ezekieli anasema hivi kuonyesha hofu yake kuhusu nini kitatokea kwa watu waliosalia huko.