# Ikawa kwamba Hili neno limetumika hapa kuonyesha tukio la muhimu katika hadithi. # Pelatia mwana wa Benaya Alikuwa mmoja wa viongozi waovu wa Israeli aliyetajwa katika 11:1. # ukanijaza kwenye uso wangu Tazama tafsiri yake katika 1:27. # Ee Ezekieli anasema hivi kuonyesha hofu yake kuhusu nini kitatokea kwa watu waliosalia huko.