sw_tn/ezk/11/11.md

463 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.

Huu mji hautakua sufuria yenu ya kupikia, wala hamtakuwa nyama ndani yake

Watu wanajizungumzia wenyewe kana kwamba walikuwa wakataji wa nyama wazuri na mji kana kwamba ulikuwa sufuria ambalo lilihifadhi nyama.

kati ya mipaka

Hii inaonyesha matumizi ya mipaka kuwakilisha Israeli.

mipaka

ukingo wa nje ya nchi au eneo

mtajua ya kwamba mimi ni Yahwe

Tazama katika 6:6