# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli. # Huu mji hautakua sufuria yenu ya kupikia, wala hamtakuwa nyama ndani yake Watu wanajizungumzia wenyewe kana kwamba walikuwa wakataji wa nyama wazuri na mji kana kwamba ulikuwa sufuria ambalo lilihifadhi nyama. # kati ya mipaka Hii inaonyesha matumizi ya mipaka kuwakilisha Israeli. # mipaka ukingo wa nje ya nchi au eneo # mtajua ya kwamba mimi ni Yahwe Tazama katika 6:6