sw_tn/ezk/11/11.md

20 lines
463 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.
# Huu mji hautakua sufuria yenu ya kupikia, wala hamtakuwa nyama ndani yake
Watu wanajizungumzia wenyewe kana kwamba walikuwa wakataji wa nyama wazuri na mji kana kwamba ulikuwa sufuria ambalo lilihifadhi nyama.
# kati ya mipaka
Hii inaonyesha matumizi ya mipaka kuwakilisha Israeli.
# mipaka
ukingo wa nje ya nchi au eneo
# mtajua ya kwamba mimi ni Yahwe
Tazama katika 6:6