sw_tn/ezk/09/09.md

788 B

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" ni mfano kwa ajili ya familia iishoyo katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi.

unaongezeka sana

"kubwa sana"

Nchi imejaa damu

"nchi imejaa udhalimu" au "Nchi yote watu wanawaua watu"

mji umejaa upotovu

"mji umejaa watu wanaofanya mambo ya upotovu."

jicho langu halitatazama kwa huruma

"sitawatazama kwa huruma"

nitaileta juu ya vichwa vyao

"leta madhara ya waliyoyafanya juu ya vichwa vyao." Inamaana "nitawalipa kwa kile walichokifanya"

tazama!

Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata.

nguo ya kitani

imara, nguo laini iliyo tengenezwa kutokana na mmea. ilivaliwa na watu sehemu ambazo ni moto.

Alitoa taarifa na kusema

"Alitoa taarifa kwa Yahwe na kumwambia"