# nyumba ya Israeli Neno "nyumba" ni mfano kwa ajili ya familia iishoyo katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi. # unaongezeka sana "kubwa sana" # Nchi imejaa damu "nchi imejaa udhalimu" au "Nchi yote watu wanawaua watu" # mji umejaa upotovu "mji umejaa watu wanaofanya mambo ya upotovu." # jicho langu halitatazama kwa huruma "sitawatazama kwa huruma" # nitaileta juu ya vichwa vyao "leta madhara ya waliyoyafanya juu ya vichwa vyao." Inamaana "nitawalipa kwa kile walichokifanya" # tazama! Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata. # nguo ya kitani imara, nguo laini iliyo tengenezwa kutokana na mmea. ilivaliwa na watu sehemu ambazo ni moto. # Alitoa taarifa na kusema "Alitoa taarifa kwa Yahwe na kumwambia"