sw_tn/ezk/09/09.md

36 lines
788 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nyumba ya Israeli
Neno "nyumba" ni mfano kwa ajili ya familia iishoyo katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi.
# unaongezeka sana
"kubwa sana"
# Nchi imejaa damu
"nchi imejaa udhalimu" au "Nchi yote watu wanawaua watu"
# mji umejaa upotovu
"mji umejaa watu wanaofanya mambo ya upotovu."
# jicho langu halitatazama kwa huruma
"sitawatazama kwa huruma"
# nitaileta juu ya vichwa vyao
"leta madhara ya waliyoyafanya juu ya vichwa vyao." Inamaana "nitawalipa kwa kile walichokifanya"
# tazama!
Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata.
# nguo ya kitani
imara, nguo laini iliyo tengenezwa kutokana na mmea. ilivaliwa na watu sehemu ambazo ni moto.
# Alitoa taarifa na kusema
"Alitoa taarifa kwa Yahwe na kumwambia"