sw_tn/ezk/09/05.md

482 B

akaongea na wengine kupitia kusikia

Neno "wengine" linarejea kwa walinzi.

Msiache macho yenu yawe na huruma

"Msiwe na huruma juu ya watu mnaowaona.

msiogope

"msiepuke kuuawa"

alama juu ya kichwa chake

Hawa walikuwa watu waliogugumia kuhusu machukizo yanayotokea katika Yerusalemu.

Anzeni katika patakatifu pangu

"Kuanza kuwaua wale ambao hawana alama katika patakatifu pangu"

wazee

Maana zinazowezekana 1) "wazee sabini wa nyumba ya Israeli" 2) "mzee yeyote"