sw_tn/ezk/09/05.md

24 lines
482 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akaongea na wengine kupitia kusikia
Neno "wengine" linarejea kwa walinzi.
# Msiache macho yenu yawe na huruma
"Msiwe na huruma juu ya watu mnaowaona.
# msiogope
"msiepuke kuuawa"
# alama juu ya kichwa chake
Hawa walikuwa watu waliogugumia kuhusu machukizo yanayotokea katika Yerusalemu.
# Anzeni katika patakatifu pangu
"Kuanza kuwaua wale ambao hawana alama katika patakatifu pangu"
# wazee
Maana zinazowezekana 1) "wazee sabini wa nyumba ya Israeli" 2) "mzee yeyote"