sw_tn/ezk/07/26.md

28 lines
761 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli.
# watatafuta maono kutoka kwa nabii
"watawauliza manabii ni maono gani waliyoyaona."
# sheria itawaangamiza kutoka kwa kuhani na shauri kutoka kwa wazee
"Hawa makuhani hawatafundisha sheria na wazee hawataweza kutoa ushauri mzuri." Hii ni kwa sababu Mungu hawapatia hekima.
# mwan mfalme
Maanza zinazo wezekana 1) "mwana wa mfalme" (UDB) au 2) kila mwanmume wa familia ya kifalme isipokuwa mfalme.
# atakata tamaa
Maana zinazo wezekana 1) "hatakuwa na tumaini" au 2) "atavaa mavazi ambayo yataonyesha anaomboleza."
# mikono ya watu wa nchi itatetemeka kwa hofu
"watu wa nchi watakuwa na hodu kubwa kwamba mikono yao itatetemeka"
# jua kwamba mimi ni Yahwe
"jua kwamba mimi, Yahwe, ndimi"