# Maelezo ya Jumla: Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli. # watatafuta maono kutoka kwa nabii "watawauliza manabii ni maono gani waliyoyaona." # sheria itawaangamiza kutoka kwa kuhani na shauri kutoka kwa wazee "Hawa makuhani hawatafundisha sheria na wazee hawataweza kutoa ushauri mzuri." Hii ni kwa sababu Mungu hawapatia hekima. # mwan mfalme Maanza zinazo wezekana 1) "mwana wa mfalme" (UDB) au 2) kila mwanmume wa familia ya kifalme isipokuwa mfalme. # atakata tamaa Maana zinazo wezekana 1) "hatakuwa na tumaini" au 2) "atavaa mavazi ambayo yataonyesha anaomboleza." # mikono ya watu wa nchi itatetemeka kwa hofu "watu wa nchi watakuwa na hodu kubwa kwamba mikono yao itatetemeka" # jua kwamba mimi ni Yahwe "jua kwamba mimi, Yahwe, ndimi"