sw_tn/ezk/07/26.md

761 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli.

watatafuta maono kutoka kwa nabii

"watawauliza manabii ni maono gani waliyoyaona."

sheria itawaangamiza kutoka kwa kuhani na shauri kutoka kwa wazee

"Hawa makuhani hawatafundisha sheria na wazee hawataweza kutoa ushauri mzuri." Hii ni kwa sababu Mungu hawapatia hekima.

mwan mfalme

Maanza zinazo wezekana 1) "mwana wa mfalme" (UDB) au 2) kila mwanmume wa familia ya kifalme isipokuwa mfalme.

atakata tamaa

Maana zinazo wezekana 1) "hatakuwa na tumaini" au 2) "atavaa mavazi ambayo yataonyesha anaomboleza."

mikono ya watu wa nchi itatetemeka kwa hofu

"watu wa nchi watakuwa na hodu kubwa kwamba mikono yao itatetemeka"

jua kwamba mimi ni Yahwe

"jua kwamba mimi, Yahwe, ndimi"