sw_tn/ezk/07/17.md

20 lines
541 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli.
# na hofu kuu itawafunika
"watajawa na hofu" au "na watakuwa na wasi wasi sana"
# katika siku ya ghadhabu ya Yahwe
"katika siku wakati Yahwe atakapotenda juu ya hasira yake" au "wakati Yahwe atakapowaadhibu"
# hawatashibishwa njaa yao
"hawatakuwa na chakula cha kula"
# uovu wao umekuwa kizuizi
Maana ziwezekanazo 1) "kwa sababu kumiliki dhahabu nyingi na fedha zimewapelekea kuasi" (UDB) au 2) "kwa sababu ni waovu, wanafanya dhambi hiyo inaonyesha jinsi walivyo waovu."