sw_tn/ezk/07/17.md

541 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli.

na hofu kuu itawafunika

"watajawa na hofu" au "na watakuwa na wasi wasi sana"

katika siku ya ghadhabu ya Yahwe

"katika siku wakati Yahwe atakapotenda juu ya hasira yake" au "wakati Yahwe atakapowaadhibu"

hawatashibishwa njaa yao

"hawatakuwa na chakula cha kula"

uovu wao umekuwa kizuizi

Maana ziwezekanazo 1) "kwa sababu kumiliki dhahabu nyingi na fedha zimewapelekea kuasi" (UDB) au 2) "kwa sababu ni waovu, wanafanya dhambi hiyo inaonyesha jinsi walivyo waovu."