sw_tn/ezk/06/11.md

767 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli.

Bwana Yahwe

Jina halisi la Mungu wa Kweli alilojifunua kwa wa Israeli.

Piga makofi na kanyaga kwa mguu wako

Ezekieli alikuwa afanye hili tendo la ishara kupata umakini wa watu. Hii haikuwa makofi.

Ole

Neno "Ole" limetumika kuelezea huzuni.

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" ni mfano kwa ajili ya familia iishiyo katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi. "kundi la watu wa Israeli"

Kwa kuwa wataanguka kwa upanga, njaa, na tauni.

"Kwa kuwa watakufa kwa upanga, njaa, na tauni." "Upanga", "njaa", na "tauni" ni njia mbali mbali watakazokufa. Upanga "upanga" inawakilisha vita.

nitaikamilisha ghadhabu yangu juu yao

"nitatosheleza hasira yangu juu yao"