sw_tn/ezk/06/11.md

28 lines
767 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli.
# Bwana Yahwe
Jina halisi la Mungu wa Kweli alilojifunua kwa wa Israeli.
# Piga makofi na kanyaga kwa mguu wako
Ezekieli alikuwa afanye hili tendo la ishara kupata umakini wa watu. Hii haikuwa makofi.
# Ole
Neno "Ole" limetumika kuelezea huzuni.
# nyumba ya Israeli
Neno "nyumba" ni mfano kwa ajili ya familia iishiyo katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi. "kundi la watu wa Israeli"
# Kwa kuwa wataanguka kwa upanga, njaa, na tauni.
"Kwa kuwa watakufa kwa upanga, njaa, na tauni." "Upanga", "njaa", na "tauni" ni njia mbali mbali watakazokufa. Upanga "upanga" inawakilisha vita.
# nitaikamilisha ghadhabu yangu juu yao
"nitatosheleza hasira yangu juu yao"