sw_tn/ezk/06/06.md

550 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli.

miji itaharibiwa

"Wanajeshi maadui wataiharibu miji yenu"

zitavunjwa

"madhabahu zenu zitavunjwa" au "wanajeshi maadui watazivunja."

nguzo zenu zitaangushwa chini

"wataziangusha nguzo zenu."

kazi zenu zitafutiliwa mbali

"hakuna atakayekumbuka ulichokifanya"

Maiti zitaanguka chini kati yenu

"Umuona adui akiwaua watu waengi"

jua kwamba mimi ndiye Yahwe

Maana ziwezekanazo ni 1) "tambua mimi, Yahwe, ni nani" au 2) "tambua kwamba mimi ni Yahwe, Mungu wa kweli."