sw_tn/ezk/06/06.md

28 lines
550 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli.
# miji itaharibiwa
"Wanajeshi maadui wataiharibu miji yenu"
# zitavunjwa
"madhabahu zenu zitavunjwa" au "wanajeshi maadui watazivunja."
# nguzo zenu zitaangushwa chini
"wataziangusha nguzo zenu."
# kazi zenu zitafutiliwa mbali
"hakuna atakayekumbuka ulichokifanya"
# Maiti zitaanguka chini kati yenu
"Umuona adui akiwaua watu waengi"
# jua kwamba mimi ndiye Yahwe
Maana ziwezekanazo ni 1) "tambua mimi, Yahwe, ni nani" au 2) "tambua kwamba mimi ni Yahwe, Mungu wa kweli."