# Maelezo ya Jumla: Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli. # miji itaharibiwa "Wanajeshi maadui wataiharibu miji yenu" # zitavunjwa "madhabahu zenu zitavunjwa" au "wanajeshi maadui watazivunja." # nguzo zenu zitaangushwa chini "wataziangusha nguzo zenu." # kazi zenu zitafutiliwa mbali "hakuna atakayekumbuka ulichokifanya" # Maiti zitaanguka chini kati yenu "Umuona adui akiwaua watu waengi" # jua kwamba mimi ndiye Yahwe Maana ziwezekanazo ni 1) "tambua mimi, Yahwe, ni nani" au 2) "tambua kwamba mimi ni Yahwe, Mungu wa kweli."