sw_tn/ezk/05/09.md

788 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yerusalemu.

yale ambayo sijawahi kuyafanya na kile ambacho sintokifanya tena

"kama sijawahi kufanya na sintafanya katika njia ile ile tena" au "kama sijawahi kufanya tena na sitafanya tena" (UDB).

Kwa sababu ya matendo yenu maovu

"kwa sababu ya matendo yenu yote maovu muyafanyayo." Mungu alikuwa na hasira kwa sababu watu walikuwa wakiabudu sanamu na miungu ya uongo.

mababa watawala watoto wao kati yenu, na wana watawala baba zao

Huenda Ezekieli anaeleza nini kitatokea hasa wakati watakapo kosa chakula.

nitatekeleza hukumu juu yako

"nitakuhukumu" au "nitakuadhibu kwa ukali" (UDB)

na kuwatawanya kila upande wote walio ondoka

"na nitawalazimisha wote walio ondoka kwenda sehemu tofauti tofauti."