sw_tn/ezk/05/09.md

24 lines
788 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yerusalemu.
# yale ambayo sijawahi kuyafanya na kile ambacho sintokifanya tena
"kama sijawahi kufanya na sintafanya katika njia ile ile tena" au "kama sijawahi kufanya tena na sitafanya tena" (UDB).
# Kwa sababu ya matendo yenu maovu
"kwa sababu ya matendo yenu yote maovu muyafanyayo." Mungu alikuwa na hasira kwa sababu watu walikuwa wakiabudu sanamu na miungu ya uongo.
# mababa watawala watoto wao kati yenu, na wana watawala baba zao
Huenda Ezekieli anaeleza nini kitatokea hasa wakati watakapo kosa chakula.
# nitatekeleza hukumu juu yako
"nitakuhukumu" au "nitakuadhibu kwa ukali" (UDB)
# na kuwatawanya kila upande wote walio ondoka
"na nitawalazimisha wote walio ondoka kwenda sehemu tofauti tofauti."