# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yerusalemu. # yale ambayo sijawahi kuyafanya na kile ambacho sintokifanya tena "kama sijawahi kufanya na sintafanya katika njia ile ile tena" au "kama sijawahi kufanya tena na sitafanya tena" (UDB). # Kwa sababu ya matendo yenu maovu "kwa sababu ya matendo yenu yote maovu muyafanyayo." Mungu alikuwa na hasira kwa sababu watu walikuwa wakiabudu sanamu na miungu ya uongo. # mababa watawala watoto wao kati yenu, na wana watawala baba zao Huenda Ezekieli anaeleza nini kitatokea hasa wakati watakapo kosa chakula. # nitatekeleza hukumu juu yako "nitakuhukumu" au "nitakuadhibu kwa ukali" (UDB) # na kuwatawanya kila upande wote walio ondoka "na nitawalazimisha wote walio ondoka kwenda sehemu tofauti tofauti."