sw_tn/ezk/04/09.md

24 lines
508 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Roho anaendelea kunena na Ezekieli.
# ngano, shayiri, ... mtama, na kusemethi
Hii ni aina tofauti tofauti za nafaka.
# maharagwe
mbegu za mizabibu, ambao humea katika safu moja ndani yake njia nyingine tunda tupu, linaweza kuliwa
# dengu
Haya ni kama maharagwe, lakini mbegu zake ni ndogo, mviringo, na sawasawa.
# shekeli ishirini kwa siku
"shekeli 20 kwa siku." gram 200 za mkate kila siku"
# sita ya hini
" hini1/6" au "sehemu ya sita ya hini" au "takriban nusu lita" (UDB)