sw_tn/ezk/04/09.md

508 B

Maelezo ya Jumla:

Roho anaendelea kunena na Ezekieli.

ngano, shayiri, ... mtama, na kusemethi

Hii ni aina tofauti tofauti za nafaka.

maharagwe

mbegu za mizabibu, ambao humea katika safu moja ndani yake njia nyingine tunda tupu, linaweza kuliwa

dengu

Haya ni kama maharagwe, lakini mbegu zake ni ndogo, mviringo, na sawasawa.

shekeli ishirini kwa siku

"shekeli 20 kwa siku." gram 200 za mkate kila siku"

sita ya hini

" hini1/6" au "sehemu ya sita ya hini" au "takriban nusu lita" (UDB)