sw_tn/ezk/03/26.md

28 lines
475 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Roho anaendelea kunena na Ezekieli.
# paa ya kinywa chako
"juu ya kinywa chako"
# utakuwa kimya
"hutaweza kunena"
# nyumba
Hii ni mfano kwa ajili ya familia iishiyo katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaindi ya mika mingi. kundi la watu"
# nitakufungua kinywa chako
"nitakufanya uweze kunena"
# yule atakayeshindwa kusikiliza hataweza kusikiliza
"yule akataaye kisikiliza hataweza kusikiliza"
# Bwana Yahwe
Jina la Mungu