sw_tn/ezk/03/26.md

475 B

Maelezo ya Jumla:

Roho anaendelea kunena na Ezekieli.

paa ya kinywa chako

"juu ya kinywa chako"

utakuwa kimya

"hutaweza kunena"

nyumba

Hii ni mfano kwa ajili ya familia iishiyo katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaindi ya mika mingi. kundi la watu"

nitakufungua kinywa chako

"nitakufanya uweze kunena"

yule atakayeshindwa kusikiliza hataweza kusikiliza

"yule akataaye kisikiliza hataweza kusikiliza"

Bwana Yahwe

Jina la Mungu