# Maelezo ya Jumla: Roho anaendelea kunena na Ezekieli. # paa ya kinywa chako "juu ya kinywa chako" # utakuwa kimya "hutaweza kunena" # nyumba Hii ni mfano kwa ajili ya familia iishiyo katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaindi ya mika mingi. kundi la watu" # nitakufungua kinywa chako "nitakufanya uweze kunena" # yule atakayeshindwa kusikiliza hataweza kusikiliza "yule akataaye kisikiliza hataweza kusikiliza" # Bwana Yahwe Jina la Mungu