sw_tn/ezk/03/10.md

350 B

wachukulie kwenye moyo wako na wasikilize kwa masikio yako

"wakumbuke na wasikilize kwa makini"

Kisha nenda kwa mateka

Neno "mateka" inarejelea kwa watu wa Israeli waliokuwa wakiishi katika Babebli.

watu wako

"kundi la watu wako." Ezekieli aliishi katika Yuda kabla Wababeli kumchukua kwenda Babeli.

Bwana Yahwe

Hili ni jina la Mungu.