# wachukulie kwenye moyo wako na wasikilize kwa masikio yako "wakumbuke na wasikilize kwa makini" # Kisha nenda kwa mateka Neno "mateka" inarejelea kwa watu wa Israeli waliokuwa wakiishi katika Babebli. # watu wako "kundi la watu wako." Ezekieli aliishi katika Yuda kabla Wababeli kumchukua kwenda Babeli. # Bwana Yahwe Hili ni jina la Mungu.