sw_tn/ezk/03/10.md

16 lines
350 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wachukulie kwenye moyo wako na wasikilize kwa masikio yako
"wakumbuke na wasikilize kwa makini"
# Kisha nenda kwa mateka
Neno "mateka" inarejelea kwa watu wa Israeli waliokuwa wakiishi katika Babebli.
# watu wako
"kundi la watu wako." Ezekieli aliishi katika Yuda kabla Wababeli kumchukua kwenda Babeli.
# Bwana Yahwe
Hili ni jina la Mungu.