sw_tn/exo/39/21.md

245 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani.

ili kipate kuwa juu ya

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

kifuko cha kifuani kisiondoke juu ya efodi

"kifuko cha kifuani kitabaki kwenye efodi"